Thursday, 26 July 2012
WAZIRI WA MAWASILIANO NA UCHUKUZI DR. HARRISON MWAKYEMBE AZINDUA RASMI HUDUMA ZA SAFARI ZA ANGA ZA QATAR AIWAYS KUTOKA KILIMANJARO KUELEKEA SEHEMU MBALIMBALI ZA DUNIA KILA SIKU
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya KADCO, Balozi Hassan Omar Gumbo Kibelloh akimkaribisha Mkurugenzi mtendaji wa masoko wa shirika la Qatar Bw. Marwan Koleilat mara baada ya kuwasili na ndege ya shirika hilo aina ya Ndege namba QR546,shoto kwake ni Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki
Mgeni rasmi katika uzinduzi huo,waziri wa mawasiliano na uchukuzi Dr. Harrison akipiga makofi wakati kikundi cha ngoma za asili kikitumbuiza,shoto kwake ni Mkurugenzi mtendaji wa masoko wa shirika la Qatar Bw. Marwan Koleilat
Hizi ndo siti za kwenye ndege ya qatar upande wa business class (picha za chini) na economic class (upande wa juu)
Mkurugenzi mtendaji wa masoko wa shirika la Qatar Bw. Marwan Koleilat kwa niaba ya shirika hilo akimpa Mgeni rasmi katika uzinduzi huo,waziri wa mawasiliano na uchukuzi Dr. Harrison zawadi ya yenye nembo ya ndege ya shirika hilo la Qatar.
Mgeni rasmi katika uzinduzi huo,waziri wa mawasiliano na uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe akimkabidhi Mkurugenzi mtendaji wa masoko wa shirika hilo Bw. Marwan Koleilat kwa niaba ya shirika hilo la ndege la Qatar zawadi ya picha yenye kivuli cha Mlima Kilimanjaro .

BINAISA’S SON JAILED 12 YEARS FOR DEFILEMENT
High Court in Kampala yesterday sentenced Francis Birungi Binaisa, son to former President Godfrey Lukongwa Binaisa to 12 years imprisonment for aggravated defilement.
Binaisa was last year charged with defilement when he sexually molested his 12-year niece between November, 2010 and April last year at Luvuma Zone in Makindye Division.
Justice Rugadya Atwoki said Binaisa was entrusted by the victim’ s parents to take care of their daughter but instead molested her.
The victim told court that Binaisa abused her three times.
Justice Rugadya in his ruling said prosecution proved beyond reasonable doubt that the act of sex was performed.
Justice Rugadya in his ruling said prosecution proved beyond reasonable doubt that the act of sex was performed.
“The evidence the victim gave on sworn in-oath collaborates with the evidence of Dr Moses Byaruhanga, who examined the girl, found she was 13 years old and her hymen was ruptured hence sufficient intelligence,” the judge said
Wednesday, 25 July 2012
KUZAMA KWA MV.SKAGEN NI MATOKEO YA KUTOKUTIBU KIINI CHA AJALI ILIYOPITA ( MAKALA, MWANANCHI JUMAPILI)
Na: Maggid Mjengwa,
WATANZANIA tumekumbwa tena na balaa la ajali kubwa ya meli kuzama. Ni wakati sasa wa kujifunza kutokana na yaliyotokea huko nyuma.
Maana ajali ya Mv Skagit inaonekana dhahiri kuchangiwa na uzembe. Na uzembe kwa nchi yetu unalelewa na mfumo mbovu. Na mfumo mbovu unatokana na Katiba mbovu.
Maana, ni katika mazingira haya ya kufanya mambo ya hovyohovyo ndipo tunapokuwa na wanasiasa wa hovyohovyo wenye kuhusika pia na biashara ya uchukuzi na usafirishaji wa abiria.
Ni vigumu kwa mfumo wetu wa sasa, kwa watendaji wa vyombo au taasisi zisizo huru kikatiba na kisheria kuweza kuwasimamia wafanyabiashara dhalimu ambao miongoni mwao wamo baadhi ya wanasiasa wetu.
Tuna lazima sasa kupitia Katiba yetu ijayo, kuvipa nguvu za kisheria vyombo na taasisi zetu muhimu kwa nchi yetu. Tuwe na vyombo na taasisi huru ambazo utendaji wake hauwezi kuingiliwa kirahisi na mamlaka nyingine.
Fikiri leo kama tungekuwa na utaratibu wa kwamba mmiliki wa chombo cha majini au angani na atakayebainika kuingiza nchini chombo kilicho chini ya viwango vinavyokubalika kimataifa na hata chombo hicho kikasababisha ajali ya kuua raia kuwa mmiliki huyo atafungwa jela na kufilisiwa mali zake? Naamini, tungekuwa na vyombo madhubuti na ajali zingetokea kwa bahati mbaya kwa maana yake halisi.
Ni nini basi cha kujifunza kutoka kwenye ajali iliyopita ya Mv Spice Islanders?
Ikumbukwe, Ripoti ya Tume ya kuchunguza ajali ya kuzama kwa Meli ya Mv Spice Islanders ilipendekeza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bandari, Mustafa Aboud Jumbe pamoja na wahusika wengine wachukuliwe hatua za kisheria na kinidhamu kutokana na uzembe waliofanya na kusababisha kuzama kwa Meli hiyo. Mpaka leo hii hatujasikia adhabu walizopewa wahusika wa ajali ile.
Maana, bado tunakumbuka kuwa, ripoti ile ilibainisha kuwa miongoni mwa watu ambao walibainika na makosa katika ajali ya Mv Spice Islanders ni pamoja na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri wa Baharini Zanzibar, Haji Vuai Ussi, Mkuu wa kituo cha usimamizi wa usalama wa vyombo vya baharini wa Shirika la Bandari, Usawa Khamis Said na Kaimu Mdhibiti wa Bandari ya Malindi, Sarboko Makarani Sarboko.
Wengine ni pamoja na Wanahisa wa Kampuni inayomiliki meli hiyo Jaku Hashim Ayub ambaye ni Mwakilishi na Mbuge wa Jimbo la Muyuni, Salim Said Mohammed, Makame Hasnuu Makame na Yussuf Suleiman Issa.
Alikuwamo pia nahodha wa meli Said Abdallah Kinyanyite na wasaidizi wake, Ofisa usafirishaji wa Shirika la Bandari Hassan Mussa Mwinyi na Mkaguzi wa Meli wa Mamlaka ya Usafiri wa Baharini, Juma Seif Juma.
Ndiyo, wakati bado hatuna hakika ya hatua zipi zilichukuliwa dhidi ya wahusika hawa leo tunaomboleza msiba mwingine kwa taifa.
Hakika, inasikitisha sana, kuwa hata mwaka haujatimu kukumbuka ajali iliyopita ya Septemba 9, 2011, Watanzania tunapatwa na msiba mwingine. Na misiba yote miwili inatokana na uzembe na wala si ya kusingizia ‘Kazi ya Mungu’.
Watanzania sasa tunataka kuona hatua kali za kisheria na kinidhamu zinachukuliwa, tena kwa haraka dhidi ya wahusika waliochangia kwenye ajali ile ya Mv Skagit.
Kwa kuanzia jina la mmiliki wa meli liwekwe hadharani. Na Tume itakayochunguza ajali hii itabaini kuwa mwenye meli ameingiza chombo chakavu, basi, awe wa kwanza kutolewa mfano.
ABOUT TANZANIA
Archeological discoveries in the late 1950s by British anthropologist Dr. L.S.B. Leaky unearthed in the Olduvai Gorgethe fossilized remains of what was termed Homo habilis, an early hominid that lived some 1.75 million years ago in the region of the Great Rift Valley. Also nearby (30 kilometres from Olduvai Gorge) are the Laetoli Footprints formed by the earliest human ancestors thought to be over 3.6 million years old.
The original human inhabitants of the region where hunter gather communities of the Cushitic and the Khoisan groups. Bantu-speaking people from the west and northwest Africa began to arrive in a series of migrations about 2000 years ago and followed by Nilotic pastoralists from the north that arrived and continued to immigrate into the area throughout the 18th century. With the exception of remains hunter/gather populations (Khoisan and Cushitic), the majority of all 126 African tribes that make up most of the human population of Tanzania today are of Bantu origin.
Arabs & Portuguese
In 1698 a resurgence of Arab influence was realized with the help of Omani Arabs who established a presence on the Island of Zanzibar. In 1840 the Omani Sultan Seyyid Said moved his capital to Zanzibar City and in 1841 Zanzibar became the official seat of the Sultan of Oman where it remained until the beginning of the liberation period.
Travellers and merchants from the Persian Gulf and Western India have visited the East African coast since early in the first millennium. From Zanzibar most of the trades originating from the interior was factored and controlled, including the lucrativeIndian Ocean Slave Trade from which the economy of Zanzibar was largely built. The effect of this revitalization of trade along the east coast was the founding or regeneration of important commercial centers along the coast, including Kilwa, Tanga, Pangani, Kivinje, Lindi and Bagamoyo.

The arrival of the Portuguese mariner Vasco da Gama who became the first European to reach the East African coast, in 1498 en-route to India began a period when the Arab mercantile influence along the coast was challenged, an influence that had been steady for almost half a century. This influence is still evident in the language, religion and architecture of the region to this day. Both Arab and Portuguese traders exploited the interior for ivory, gold and slaves, which were principally exported east into the Indian Ocean trading axis. By 1525 the Portuguese had subdued the entire coast and its control lasted until the early 18th century, when Arabs from Oman established a foothold in the region.
In 1698 a resurgence of Arab influence was realized with the help of Omani Arabs who established a presence on the Island of Zanzibar. In 1840 the Omani Sultan Seyyid Said moved his capital to Zanzibar City and in 1841 Zanzibar became the official seat of the Sultan of Oman where it remained until the beginning of the liberation period.
Travellers and merchants from the Persian Gulf and Western India have visited the East African coast since early in the first millennium. From Zanzibar most of the trades originating from the interior was factored and controlled, including the lucrativeIndian Ocean Slave Trade from which the economy of Zanzibar was largely built. The effect of this revitalization of trade along the east coast was the founding or regeneration of important commercial centers along the coast, including Kilwa, Tanga, Pangani, Kivinje, Lindi and Bagamoyo.
Zanzibar became the center for the Arab slave trade. Between 65 to 90 percent of the Zanzibar Arab-Swahili population was enslaved. Slaves were used to carry ivory to the coast but were also required for clove plantations in Zanzibar and in sugar plantations in Mauritius. Other slaves were exported to the Persian Gulf, Europe and Americas.
One of the most famous slave traders on the East African coast was Tippu Tip, who was himself the grandson of an enslaved
WANANCHI WA MKOA WA DAR ES SALAAM JITOKEZENI KWA WINGI KWENYE SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA ITAKAYOFANYIKA KITAIFA KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA TAREHE 25 JULAI 2012
Askari Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) watakaoshiriki kwenye gwaride wakati wa maadhimisho ya siku ya mashujaa wakiendelea na mazoezi katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam.Picha na Aron Msigwa – MAELEZO
---
Na. Aron Msigwa – MAELEZO.
Wananchi wa mkoa wa Dar es salaam wameombwa kujitokeza kwa wingi wakati wa sherehe za maadhimisho ya kumbukumbu ya Siku ya Mashujaa itakayofanyika kitaifa katika viwanja vya Mnazi mmoja tarehe 25 Julai 2012 jijini Dar es salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam , Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki amesema maandalizi ya maadhimisho hayo yamekamilika na kufafanua kuwa mgeni rasmi katika sherehe hizo atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete.
Amesema katika maadhimisho hayo kwa upande wa mkoa wa Dar es salaam baadhi ya barabara zitafungwa ikiwemo barabara ya Nyerere, Uhuru na Bibi Titi Mohamed ili kuhakikisha usalama kwa wale wote watakaohudhuria maadhimisho hayo na kuongeza kuwa katika kuboresha maadhimisho hayo kamati ya maadhimisho itaweka luninga katika maeneo yote muhimu ili kuwawezesha wananchi kuona yanayotendeka wakati wa maadhimisho hayo.
Aidha Bw. Meck Sadiki amesema kuwa maadhimisho hayo ni kumbukumbu muhimu katika historia ya Tanzania kwa kuwaenzi mashujaa waliojitoa muhanga katika jitihada za kuikomboa na kuilinda Tanzania.
“ Maadhimisho haya ni kumbukumbu muhimu sana katika historia ya nchi yetu kwani tunawaenzi mashujaa wetu waliojitoa muhanga katika jitihada za kuikomboa, kuilinda na kudumisha amani na utulivu wan chi yetu”
Kiongozi wa mabalozi wanchi za Afrika wanaoishi nchini Tanzania Balozi Ibrahim Mukubi kutoka Uganda akiweka shada la maua kwenye mnara wa kumbukumbu ya mashujaa leo jijini Dar es salaam ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya sherehe ya siku ya mashujaa itakayofanyika tarehe 25, Julai 2012.
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Saidi Meck Sadiki (katikati) akiongea na waandishi wa habari Katika viwanja vya Mnazi mmoja leo jijini Dar es Salaam kueleza namna mkoa ulivyojipanga kufanikisha sherehe za maadhimisho ya siku ya mashujaa itakayofanyika kitaifa tarehe 25, Julai 2012 katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam.
Tuesday, 17 July 2012
Monday, 16 July 2012
Tuesday, 10 July 2012
Saturday, 7 July 2012
Friday, 6 July 2012
Subscribe to:
Posts (Atom)