Friday, 7 June 2013

Maonyesho ya Wurzburg Festival Ujerumani,Yavamiwa na mafuriko ya maji

Ngoma Africa band aka FFU Ughaibuni waponea Chupu Chupu !


Wurzburg,Ujerumani,

Jumamosi ya tarehe 1 Juni 2013,katika viwanja vya maonesho ya Wurzburg Festival,
Kulikuwa na machonzi na simanzi baada ya eneo hilo kukumbwa na mafuriko yaliyosababisha hasara kubwa na kuvunjwa kwa tamasha hilo lililokuwa likisherekea
miaka 25.
Habari za uhakika zimevuja kuwa vikosi vya zimamoto na wanausalama viliingiwa na
mashaka baada ya wanii wa Ngoma  Africa band aka FFU,kutoweka ghafla katikachumba cha kubadilishia nguo (back Stage) na kutojulikana waliko, wasi wasi ulitanda labda watakuwa wamezolewa na mafuriko ! Lakini baada ya masaa kadhawatayarishaji waligundua kuwa mkuu wa bendi hiyo field-marshal Kamanda Ras Makunja alikiondoa kikosi chake baada ya makachero wa bendi hiyo maarufu kama "Anunnaki Empire" kumtonya boss wao kuwa eneo la festival sio salamamto ulio jirani wa eneo hilo  unajaa maji kwa kasi,Kamanda bila kuaga kawatoa FFUwa Ngoma Africa band katika hali ya usiri na kuwanusuru vijana wake, na simu ya ke ikazimwa hadi baada ya masaa fulani ndipo ikawashwa na kuwajulisha waandalizi wa onyesho wasiwe na shaka kamanda na kikosi cha Ngoma Africa band wapo salama kambini,kitendo hiko kiliwaacha midomo wazi baadhi ya wadau ! wengine kudiriki kusema kuwa Simba ni Simba.Wadaku wametonya kuwa tamasha hilo lilianza mwishoni mwa mwezi mai siku ya ijumaa 31.Mai 2013 kukiwa na maelfu ya watu na wasanii mbali mbali walioalikwawakiwamo mkongwe Manu Dibando,Alfa Blondy,Salifu Keita ndio walioanza kufungua dimba, Ijumaa hiyo hali ilikuwa shwari lakini ilipofika jumamosi hali ya hewailianza kubadilika kwa mvua na upepo,wasinii wengine wakiwa kwenye vyumba vya kujitayarishia miongoni mwao wakiwamo "Ngoma Africa band " a.k.a FFU Ughaibuni, baada ya hali ya hewa kuanza kubadilika kwa upepo na mvua ndioinasemekana kuwa  Kamanda Ras Makunja na kikosi chake Ngoma Africa band,Kuondoka katika eneo la festival (eneo la hatari) lilikumbwa na maji,katikamazingira ya ajabu. Watonyaji wa habari wamedai kuwa walitoroshwa kwa magarimawili meusi aina ya van yalikuwa na madilisha ya kiza (tinted windows).Kamanda Ras 

Tuesday, 4 June 2013

BREAKING NEWSssssssMAJAMBAZI WAUA MMOJA WAJERUHI WAWILI KWA RISASI WAPORA MAMILIONI YA SHILINGI ,IRINGA 10:01 AM news No comments

 Wananchi  wa Zizi la Ng'ombe mjini Iringa  wakiwa kando ya gari ambalo marehemu  alijificha  chini ya uvungu baada ya  kupigwa risasi na majambazi hao  Mwili  wa marehemu huyo aliyetambulika kwa jina la baba  Daudi  ukiwa katika  gari la polisi

AJALI MBAYA YA MAGARI IMETOKEA ENEO LA NANE NANE DARAJANI UYOLE MBEYA , YAJERUHI VIBAYA NA WATU WAHOFIWA KUPOTEZA MAISHA.

Baadhi ya miili iliyookolewa muda mfupi baada ya ajali hiyo  Daladala ikiwa imeharibika vibaya baada ya ajali kutokea     HILI NDILO ENEO AMBAPO AJALI HIYO IMETOKEA        WANANCHI MBALIMBALI WAKIWA KATIKA ENEO LA TUKIO KUSHUHUDIA AJALI HIYO


MKUTANO MKUU WA 12 WA MWAKA WA VITUO VYA ELIMU KWA NJIA YA MTANDAO KUTOKA NCHI 15 ZA AFRIKA(AADLC) WAFANYIKA DAR ES SALAAM TANZANIA.

Katibu Mkuu ofisi ya Rais na utumishi wa umma Bw Georg Yambesi c akijadiliana jambo na Rais wa (AADCL) na Mkurugenzi (DLC) kutoka  Senegal Bwana Mor Seck kushoto kwa Yambesi ni Mkurugenzi mtendaji wa (TAGLA) Charles Senkoro. Katibu Mkuu wa ofisi ya Rais menejimenti ya utumishi wa umma GEORGE YAMBESI amewataka wajumbe wa umoja wa vituo vya elimu kwa njia ya mtandao barani AFRIKA washirikiane na makampuni ya TEHAMA na simu za mikononi

TBL YAKABIDHI KISIMA CHA SH. MIL. 41 MBARALI,MBEYA.

 Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Stephen Kilindo (kulia) akiwa na wafanyakazi wenzake  wakifurahia maji yanayotoka katika kisima walichosaidia kijijini isnura, wilayani Mbarali, katika hafla iliyofanyika hivi karibuni kijijini hapo. Sehemuambapo kisima kimechimbwa Kisima chenyewe kinavyoonekana Kilindo (kulia) akizungumza na baadhi ya wanakijiji pamoja na wafanyakazi wa TBL

greetings. and appologising

So sorry my dears i was away due to some reasons but am back.

Avril- Hakuna yule(Missing You)

sneak peek shadows of love

DOLE - Mabeste Ft. Deddy - OFFICIAL MUSIC VIDEO