Katibu Mkuu ofisi ya Rais na utumishi wa umma Bw Georg Yambesi c akijadiliana jambo na Rais wa (AADCL) na Mkurugenzi (DLC) kutoka Senegal Bwana Mor Seck kushoto kwa Yambesi ni Mkurugenzi mtendaji wa (TAGLA) Charles Senkoro. Katibu Mkuu wa ofisi ya Rais menejimenti ya utumishi wa umma GEORGE YAMBESI amewataka wajumbe wa umoja wa vituo vya elimu kwa njia ya mtandao barani AFRIKA washirikiane na makampuni ya TEHAMA na simu za mikononi
No comments:
Post a Comment