BREAKING NEWSssssssMAJAMBAZI WAUA MMOJA WAJERUHI WAWILI KWA RISASI WAPORA MAMILIONI YA SHILINGI ,IRINGA 10:01 AM news No comments
Wananchi wa Zizi la Ng'ombe mjini Iringa wakiwa kando ya gari ambalo marehemu alijificha chini ya uvungu baada ya kupigwa risasi na majambazi hao Mwili wa marehemu huyo aliyetambulika kwa jina la baba Daudi ukiwa katika gari la polisi
No comments:
Post a Comment