Thursday, 15 March 2012

MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI WA MKOA WA MBEYA IMEKATAA OMBI LA MWEKEZAJI KUPEWA PASIPOTI.


Na mbeya yetu blog 
Rubani wa ndege Andries Daffe iliyotumiwa kunyunyizia sumu katika mashamba ya eneo la Mpunga mmoja ambazo ni hekati 489.5 za mazao ziliathiriwa na sumu hiyo,  akiwa 
na mkewe baada ya kudhaminiwa.

No comments:

Post a Comment